Klabu ya Al Hilal ya Sudan imeishukuru Klabu ya Simba Sc Mabingwa wa Nchi kwa mwaliko wao kwenye Shindano lao la SIMBA SUPER CUP.
Al Hilal walipigwa 4-1 na Simba Sc kwenye mchezo wa kwanza kabla ya hapo jana na wao kuwanyonyoa Mabingwa wa Congo DR TP MAZEMBE kwa bao 2-1
Kesho ndiyo kilele cha SIMBA SUPER CUP ambapo Mabingwa wa Nchi SIMBA Sc watapambana na TP MAZEMBE Uwanja wa Benjamini Mkapa hapa Dar es Salaam

ADVERTISE HERE