Uongozi wa klabu ya Simba pamoja na TP Mazembe mchana wa leo watakuwa na Mkutano na Wanahabari
Mkutano huo utafanyika kuanzia saa nane na nusu mchana, Regency Park Hotel, Mikocheni
Ni kuelekea mchezo wa Simba Super Cup baina ya timu hizo ambao utapigwa kesho Jumapili uwanja wa Benjamin Mkapa
ADVERTISE HERE