ITC yamkwamisha Gikanji kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Jan 2021
ITC yamkwamisha Gikanji kutua Simba

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa hawataweza kumsajili kiungo raia wa DR Congo Dixo Gikanji

Changamoto iliyojitokeza ni kupatikana kwa ITC ya kiungo huyo ambaye yuko Cameroon na timu ya Taifa ya DR Congo inayoshiriki michuano ya CHAN. DR Congo ilitinga robo fainali ya michuano hiyo

Simba ilikuwa imemjumuisha Gikanji katika usajili wake wa ndani pia

Dirisha la usajili la CAF litafungwa kesho Jumapili Januari 31, 2021 hivyo ITC ya kiungo huyo haiwezi kupatikana kwani watalazimika kumtoa kwenye kikosi cha DR Congo jambo ambalo haliwezekani

Hata hivyo Simba tayari ilishaongeza kiungo mkabaji Taddeo Lwanga ambaye taratibu ameanza kuingia kwenye mfumo wa Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’