Al Hilal yaichapa TP Mazembe 2-1

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
Al Hilal yaichapa TP Mazembe 2-1

Al Hilal wameiduwaza TP Mazembe baada ya kuichapa mabao 2-1 katika mchezo wa pili wa Simba Super Cup uliopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya kuchezea kipigo cha mabao 4-1 katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba, wengi hawakuipa nafasi ya kushinda Al Hilal leo mbele ya TP Mazembe, mabingwa wa ligi kuu ya DR Congo

Hata hivyo Al Hilal walikuwa bora sana kwenye mashambulizi ya kushitukiza

Kimahesabu sasa Simba iko kwenye nafasi nzuri ya kushinda taji la michuano hiyo kwani TP Mazembe watahitaji kushinda sio chini ya mabao manne ili kuweza kuwa mabingwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’