TPLB yapangia tarehe mechi za viporo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
TPLB yapangia tarehe mechi za viporo

Bodi ya Ligi Kuu imeipangia tarehe michezo miwili kati ya mitatu ya viporo ambayo vilabu vya Simba na Namungo Fc vinatakiwa kucheza

Kulingana na ratiba iliyotolewa na Bodi hiyo mapema leo, Februari 04, 2021, Simba itasafiri mkoani Dodoma kuikabili Dodoma jiji kisha kurejea jijini Dar es salaam kwa ajili ya mchezo dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Februari 07

Namungo wao watacheza na KMC Februari 04 jijini Dar es salaam na kisha kucheza na Ruvu Shooting Februari 07 kule Ruangwa

Aidha mchezo wa tatu ambao ni kati ya Simba dhidi ya Namungo Fc bado haujapangiwa tarehe ya kuchezwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
2h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
21h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
2d ago
READ MORE β†’