Bingwa Simba Super Cup kuondoka na Milioni 15

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
Bingwa Simba Super Cup kuondoka na Milioni 15

Klabu ya Simba imeweka wazi zawadi atakazopata bingwa wa michuano ya Simba Super Cup  iliyoanza Januari 27, 2021 ambazo ni fedha tasilimu shilingi milioni 15, kikombe pamoja na medali.

Taarifa hiyo imetolewa leo kupitia kwa Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara, ambaye pia amesema baada ya mchezo wa mwisho kutakuwa na tafrija (after party) ambayo itafanyika 'Kidimbwi Beach', jijini Dar es Salaam.

Katika hatua nyingine, Manara amemtangaza msanii wa BongoFleva, Zuchu kuwa mtumbuizaji katika mchezo wa mwisho wa michuano hiyo utakaopigwa Jumapili, Januari 31, 2021 kati ya Simba vs TP Mazembe.

"Mashabiki mfike mapema uwanjani na mjifunze namna ya kucheza sukari", amesisitiza Zuchu ambaye pia amemtaja golikipa Aishi Manula kuwa ndiye mchezaji anayemvutia zaidi kutoka kwenye kikosi cha Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
7h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’