Magori Mshauri wa Ufundi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
Magori Mshauri wa Ufundi Simba

Crescentius Magori ambaye amewahi kuwa Mtendaji wa klabu ya Simba, ametangazwa kuwa Mshauri wa Ufundi wa mabingwa hao wa nchi

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa Magori ameteuliwa kushika nafasi hiyo

Kabla ya Uteuzi huo, Magori alikuwa Mshauri Binafsi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Bilionea Mohammed Dewji 'Mo'

Huyu ni mmoja wa wapambanaji ndani ya Simba, ameshiriki kwa kila hatua katika kuifanya Simba ibaki katika ubora wake

Magori pia yuko mbioni kukamilisha mafunzo yake ya ukocha wa mpira wa miguu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’