Barbara awashauri Yanga waachane na Morrison

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
29 Jan 2021
Barbara awashauri Yanga waachane na Morrison

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba, Barbara Gonzalez ameonyesha kushangazwa na uongozi wa klabu ya Yanga kuendelea kumng'ang'ania Mghana Bernard Morrison ambaye ameonyesha kutokuwa na mapenzi na klabu hiyo

Akizungumza na  redio Clouds FM mapema leo, Barbara amesema sakata la Morrison na klabu ya Yanga bado halijamalizika na Wanasheria wa Simba wanaendelea kulishughulikia kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa

Hata hivyo, amesisitiza kwamba hakuna haja kwa Yanga kuendelea kupoteza muda kumng'ang'ania mchezaji ambaye hataki

"Kesi ya Morrison na Yanga bado ipo, wapo Wanasheria wetu wanatusaidia kwenye hiyo kesi. Lakini naona Yanga wanahangaika. Ni kama upo kwenye mahusiano mnaachana halafu bado unamlazimisha mpenzi wako wa zamani arudi"

"Mmeachana, hakutaki, ameshaendelea na maisha mengine, bado unamng’ang’ania wa nini? Halafu mwenzio anamaisha yake hakusubiri. Achananae," alisema Barbara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’