Uongozi wa klabu ya Simba utakuwa na Mkutano na Wanahabari leo Ijumaa, Januari 29 2021, saa nane mchana Serena Hotel
Katika Mkutano huo, Simba imedokeza kuwa kutakuwa na jambo kubwa
"Jambo kubwa linakuja. Kaa tayari!"
ADVERTISE HERE