TP Mazembe wako nchini kushiriki michuano ya Simba Super Cup kesho Ijumaa wakitarajiwa kushuka dimbani kuikabili Al Hilal
Mabingwa hao wa ligi kuu ya DR Congo leo walipata fursa ya kujifua katika uwanja wa Benjamin Mkapa ambao michuano hiyo inafanyika
Mchezo wa kukata na shoka dhidi ya Simba utapigwa Jumapili, Januari 31



ADVERTISE HERE