Mshambuliaji wa Simba Charles Ilanfya amepeleka KMC kwa mkopo
Uongozi wa KMC umethibitisha kuwa nyota huyo amerejea kwa watoza ushuru hao wa Manispaa ya Kinondoni kwa mkataba wa miezi sita
Ilanfya alisajiliwa na Simba mwezi August 2020 akitokea KMC
Hata hivyo ameshindwa kupata nafasi katika kikosi cha kwanza
ADVERTISE HERE