Simba yajifua Djibouti

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2018
Simba yajifua Djibouti
Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Gendarmerie, uwanja utakaotumika kwenye mchezo wa kesho kombe la shirikisho dhidi ya wenyeji wao hao.

Huo ni mchezo wa marudiano baina ya timu hizo, Simba tayari ikiwa mbele kwa mabao 4-0 kufuatia ushindi iliyopata wiki iliyopita jijini Dar es salaam.

Kulingana na Meneja wa kikosi cha Simba, hali za wachezaji ziko vizuri isipokuwa mlinda lango Aishi Manula ambaye amepata maumivu ya mkono wakati wa mazoezi ya jioni.

Mchezo huo unatarajiwa kupigwa kesho Jumanne, February 20 kuanzia saa kumi kamili jioni kwa saa za Afrika Mashariki na bado hakuna kituo cha televisheni kilichotangaza kuonyesha mchezo huo mubashara.

Azam TV wako kwenye mazungumzo na wenyeji Gendarmerie kuhusu kuuonyesha mchezo huo moja kwa moja.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
15h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’