Simba imeshusha mtaalamu mwingine kwenye benchi la ufundi, Culvin Mavhunga
Jukumu la mtaalamu huyu mpya ni kujua na kuchambua viwango vya Simba na wapinzani wake ili kujua ubora na uwezo wao
Ni mjuzi kweli kweli mtaalamu huyu kutoka Zimbabwe
Karibu Simba Super Cup 2021
ADVERTISE HERE