Leo saa 11:00 jioni, mabingwa wa nchi Simba watawakabili Al Hilal katika mchezo wa kwanza wa michuano ya Simba Super Cup.
Lakini kabla ya mchezo huo, Msemaji Bora Duniani, Haji Manara (De La Boss) atawatambulisha nyota wapya mbele ya mashabiki kwa mara ya kwanza
Junior Lokosi, Perfect Chikwende na Peter Muduhwa watahusika kwenye tukio hilo
ADVERTISE HERE