Tutaendelea kusimamia nidhamu - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
27 Jan 2021
Tutaendelea kusimamia nidhamu - Manara

Mkuu wa kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara amesema uongozi ulishamalizana na kiungo Jonas Mkude ambaye anapaswa kujiunga na wachezaji wenzake kuendelea na maandalizi ya mechi za VPL na Ligi ya mabingwa

Manara amesema klabu itandelea kuweka msisitizo katika masuala ya nidhamu kwa wachezaji pamoja na wafanyakazi wote wa klabu ya Simba

"Jonas Mkude tumeshamalizana nae na yuko sawa kabisa. Suala la Nidhamu litaendelea kuwekewa umakini sana kwa kila mtu anayehusiana na klabu ya Simba," alisema Manara

Mkude amekuwa nje ya kikosi kwa karibu wiki nne awali akisimamishwa na uongozi wa Simba kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu

Pamoja na kuwa uongozi umemrejesha kikosini, Mkude hatarajiwi kuwa sehemu ya kikosi kitakachocheza na Al Hilal leo kwa kuwa hakufanya mazoezi na timu kwa muda mrefu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’