Kwasi awaahidi mashabiki zawadi ya ushindi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
20 Feb 2018
Kwasi awaahidi mashabiki zawadi ya ushindi
Mlinzi wa kushoto wa Simba, Asante Kwasi amewaahidi mashabiki wa timu hiyo kuwa watarejea jijini Dar es salaam na zawadi ya ushindi mnono dhidi ya Gendarmerie.

Simba iko Djibouti tangu jana na itawavaa wenyeji wao Gendarmerie kesho kwenye mchezo wa marudiano utakaopigwa saa kumi kamili jioni.

Simba itaingia kwenye mchezo huo ikiwa tayari na mabao 4-0 iliyopata katika mchezo wa kwanza.

Akipiga stori na mashabiki kupitia mtandao wa Facebook, Kwasi alisema Simba ina uhakika wa kupata ushindi mnono zaidi kwenye mchezo wa kesho na hiyo itakuwa zawadi maalumu kwa mashabiki wote.

"Mashabiki wanataka zawadi ya Djibouti, sasa sisi tumewaahidi, zawadi yetu kubwa ni kuwaletea pointi tatu na ushindi wa mabao mengi tu," alisema Kwasi
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
2h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
14h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
20h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
22h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’