Al Hilal imewasili nchini tayari kushiriki michuano ya Simba Super Cup iliyoandaliwa na klabu ya Simba
Mabingwa hao wa Sudan wataanza na Simba siku ya kesho Jumatano katika mchezo utakaopigwa saa 11 jioni

ADVERTISE HERE