Karibu Msimbazi Peter Muduhwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jan 2021
Karibu Msimbazi Peter Muduhwa

Ni yeye! beki kisiki wa timu ya Taifa ya Zimbabwe Peter Muduhwa amemwaga wino kuwatumikia mabingwa wa nchi, Simba katika michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi

"Karibu kwenye familia kubwa ya mabingwa wa nchi beki kisiki Peter Muduhwa (Master of Defense). Wanasimba tunakupokea kwa mikono miwili na tunaamini utatufanyia kazi kubwa katika michuano ya Ligi ya Mabingwa na Simba Super Cup"

"Muduhwa ambaye alikuwa anachezea Highlanders F.C ya Zimbabwe amejiunga na kikosi chetu akitokea Cameroon kwenye kikosi cha Zimbabwe ambacho kinashiriki CHAN," imebainisha taarifa ya Simba

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
21h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’