Saa nane na nusu mchana wa leo, uongozi wa klabu ya Simba utakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari
Mkutano huo utafanyika Regency Park Hotel, Jijini Dar es salaam
Ni kuelekea kuanza kwa michuano ya Simba Super Cup hapo kesho
ADVERTISE HERE