Mabingwa wa Sudan, Al Hilal tayari wameondoka nchini humo kuja Tanzania kushiriki michuano ya Simba Super Cup itakayoanza kesho Jumatano katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Taarifa iliyotolewa na Simba, imebainisha kuwa timu hiyo itawasili nchini 7:10 mchana wa leo Jumanne
Simba, Al Hilal na TP Mazembe zinashiriki michuano hiyo maalum iliyoandaliwa na klabu ya Simba
Mchezo wa kwanza ni kati ya Simba dhidi ya Al Hilal na utapigwa saa 11 jioni, kesho Jumatano uwanja wa Mkapa
ADVERTISE HERE