Nyota mwingine wa ligi ya mabingwa kutambulishwa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Jan 2021
Nyota mwingine wa ligi ya mabingwa kutambulishwa leo

Siku moja kabla ya kuanza michuano ya Simba Super Cup, leo Simba inatarajiwa kutambulisha usajili wa nyota mwingine kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa

Jana mabingwa hao wa nchi walimtambulisha mshambuliaji raia wa Nigeria Junior Lokosa

Mchezaji anayetambulishwa leo alikuwa kule Cameroon kushiriki michuano ya CHAN

Wanasimba wameaswa kuchangamkia tiketi tayari kuwashuhudia nyota hawa wapya mbashara kuanzia kesho pale uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
10h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’