Hivi karibuni picha ya mtoto Adam Juma aliyeandika jina la kinara wa mabao, Emanuel Okwi katika fulana yake ilibamba kwenye mitandao ya kijamii mpaka kupelekea uongozi wa Simba ulazimike kumsaka.
Uongozi wa Simba mkoani Kagera umemkabidhi Adam jezi orijino ya Emanuel Okwi pamoja na scaf ya shingoni.
Mkuu Idara ya Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara amewashukuru wanachama waliofanikisha kupatikana kwa mtoto huyo na hatimaye kukabidhiwa jezi.

ADVERTISE HERE