Simba imetambulisha rasmi usajili wa mshambuliaji Junior Lokosa, nyota wa zamani wa klabu ya Esperance
Lokosa amesajiliwa na Simba wa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa lengo likiwa kucheza nusu fainali

Karibu Msimbazi Lokosa...!
ADVERTISE HERE