Hii ni wiki ya furaha kwa Wanamsimbazi kwani mabingwa wa nchi wanaendelea kuimarisha kikosi chao kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa
Kuna utambulisho mwingine leo
Simba kama Simba, hii ni wiki ya kuwakeraaaaa!
ADVERTISE HERE