Simba haijafanya mazungumzo na Zahera - Barbara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2021
Simba haijafanya mazungumzo na Zahera - Barbara

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez amezikatana taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii zinazodai kuwa wako katika mazungumzo na kocha wa zamani wa Yanga Mwinyi Zahera awe Mkurugenzi wa ufundi

Barbara amesema taarifa hizo hazina ukweli wowote na kuwa hawakufanya mazungumzo na Mkurugenzi huyo wa ufundi wa klabu ya Gwambina Fc

"Taarifa hizo hazina ukweli wowote. kwanza binafsi simfahamu huyo Mwinyi Zahera, namsikia tu. Huyo mtu hayupo kwenye benchi letu la ufundi, leo tutaiweka sawa."

"Kuna watu watatu wamejiunga na benchi letu la ufundi hivi karibuni, Kocha Mkuu, Kocha wa Magolikipa na mtu mwingine tunamtangaza leo," alisema Barbara

Tangu jana taarifa ya Zahera kuwa Mkurugenzi wa Ufundi Simba ilisambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku baadhi ya vyombo vya habari vikitangaza kama taarifa rasmi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’