Michuano ya Simba Super Cup inaanza keshokutwa Jumatano ambapo, pamoja na waandaaji wa michuano hiyo Simba, vilabu vya TP Mazembe na Al Hilal navyo vitakuwa nchini kushiriki michuano hiyo
Mabingwa wa DR Congo TP Mazembe wao wameweka hadharani kikosi chao wanachokuja nacho ambacho kinamjumuisha mshambuliaji Mtanzania, Thomas Ulimwengu
Mazembe wanakuja nchini na kikosi chao cha kwanza

ADVERTISE HERE