Takwimu zamuweka juu Manula michuano ya CHAN

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Jan 2021
Takwimu zamuweka juu Manula michuano ya CHAN

Mlinda lango wa Tanzania, Aishi Manula ndiye anayeongoza kwa kukokoa mipira ya hatari katika michuano ya CHAN inayoendelea huko Cameroon

Akiwa ameidakia Tanzania michezo miwili dhidi ya Zambia na Namibia, Manula ameokoa mpira ya hatari nane na kuongoza makipa wengine katika michuano hiyo

Mlinda lango wa Uganda Charles Lukwago yeye ameokoa mipira ya hatari 7 sawa na kipa wa Congo Pavelh Ndzila

Manula alifanya kazi kubwa katika mchezo dhidi ya Namibia akiisaidia Tanzania kuibuka na ushindi wa bao 1-0

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’