Hakuna kulala, Gomez kaanza kazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jan 2021
Hakuna kulala, Gomez kaanza kazi

Baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuwanoa mabingwa wa nchi mapema leo, kocha Mkuu wa Simba Didier Gomez ameiwasili kambini na amesimamia mazoezi ya kikosi cha Simba jioni ya leo

Gomez ana takribani siku tatu za kukinoa kikosi chake kabla ya kupata mtihani wake wa kwanza kwenye michuano ya Simba Super Cup itakayoanza Jumatano ijayo

Kocha huyo raia wa Ufaransa ameonyesha mapema tu kuwa anataka kufanya kitu akiwa na kikosi cha Simba

Ameanza kuandaa mambo mazuri...!

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’