Manula 'amenoga' huko CHAN

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
24 Jan 2021
Manula 'amenoga' huko CHAN

Mlinda lango Aishi Manula ameendelea kudhihirisha kuwa yeye ni 'Tanzania One' akionyesha kiwango cha juu sana katika michuano ya CHAN inayoendelea huko Cameroon

Katika mchezo dhidi ya Namibia uliopigwa usiku wa kuamkia leo, Manula alichangia kwa kiasi kikubwa Tanzania kuondoka na alama zote tatu kwa ushindi wa bao 1-0 lililofungwa na Farid Mussa

Manula aliokoa mipira mingi ya hatari kutoka kwa washambuliaji wa Namibia, kama isingekuwa umahiri wake pengine habari ingekuwa nyingine

Ni jambo la kupongezwa kwa wachezaji kujitoa kwa ajili ya Taifa lao, Manula pamoja na nyota wote wa Stars ambao walipata nafasi ya kucheza mchezo huo, walipambana kuhakikisha matokeo ya ushindi yanapatikana

Lakini muhimu ni utulivu wa Manula langoni uliowahakikishia usalama wa matokeo waliyoyapata baada ya dakika 90 za mchezo kukamilika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
9m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’