Mabingwa wa soka nchini Simba leo wamerejea mazoezini kujiandaa michuano ya Simba Super Cup inayoanza Jumatano ijayo
Kiungo mshambuliaji Perfect Chikwende ni miongoni mwa wachezaji walionza kujifua leo ikiwa mara yake ya kwanza tangu aliposajiliwa na Simba








ADVERTISE HERE