Mshambuliaji raia wa Nigeria Junior Lokosa amewasili nchini tayari kujiunga na mabingwa wa nchi, Simba Sc
Lokosa aliyewahi kuitumikia Esperance ya nchini Tunisia, anatua Msimbazi kwa ajili ya kazi maalum
Atawatumikia Machampioni hao wa nchi katika michuano ya ligi ya mabingwa, lengo la Simba likiwa kucheza nusu fainali
Ni mchezaji mwenye uzoefu mkubwa na michuano hiyo, hakuna shaka mchango wake utainufaisha Simba
ADVERTISE HERE