Simba yashusha kocha wa makipa kutoka Brazil

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jan 2021
Simba yashusha kocha wa makipa kutoka Brazil

Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba Barbara Gonzalez jana alisema kuwa leo wataanza kuwatambulisha makocha watakaojiunga na mabingwa hao wa nchi wakianza na makocha wawili

Inaelezwa Simba tayari imemshusha nchini kocha wa makipa Milton Nienov raia wa Brazil aliyekuja kuchukua nafasi ya Mohamed Mwalami aliyefutwa kazi mwishoni mwa mwaka Jana.

Milton amewahi kuzifundisha timu za Vasco Dagama ya Brazil, Free State, Polikwane na Golden Arrows za Afrika kusini

Mtaalamu huyo yupo jijini Dar es salaam akisubiri utambulisho rasmi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Goli la ushindi dhidi ya Fountain Gate; FT : Fountain Gate 0-1 Simba
Goli la ushindi dhidi ya Fountain Gate; FT : Fountain Gate 0-1 Simba
9h ago
READ MORE β†’
Simba mwendo mdundo, yaichapa Fountain Gate 1-0 Tanzanite Kwaraa
Simba mwendo mdundo, yaichapa Fountain Gate 1-0 Tanzanite Kwaraa
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
Kikosi : Fountain Gate vs Simba, NBC PL, Oct 29
13h ago
READ MORE β†’
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
Kamati ya uchaguzi Simba imesisitiza, mchakato unaendelea
13h ago
READ MORE β†’
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
Mangungu aibuka, apinga mchakato wa uchaguzi Simba
16h ago
READ MORE β†’
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
Matchday; Fountain Gate vs Simba, NBC PL
16h ago
READ MORE β†’
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
Tutapambana tuvuke mtoano - Barker
17h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
21h ago
READ MORE β†’
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’