Simba inavyoing'arisha VPL

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
23 Jan 2021
Simba inavyoing'arisha VPL

Kwa mujibu wa IFFHS Shirikisho la Kimataifa la Historia ya Soka na Takwimu, wametoa orodha zao za ligi bora na vilabu bora ndani ya mwaka 2020 ulimwenguni

Katika ligi bora, Ligi Kuu ya Tanzania inashika nafasi ya nane barani Afrika na nafasi ya 71 Duniani

Misri, Morocco, Tunisia, Afrika Kusini, DR Congo, Zambia na Sudan ligi zao ndio ziko juu ya VPL

Tumeweza kuzipita nchi kama Cameroon, Nigeria na Algeria ambazo kwa viwango vya soka ziko juu ya Tanzania

Lakini pia Tanzania ndio vinara kwa ukanda wa Afrika Mashariki

Hakuna ubishi, ubora na umaarufu wa ligi ya Tanzania umechangiwa na mafanikio iliyopata klabu ya Simba hasa kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

Kupitia Simba, Tanzania imeanza kutambulika barani Afrika na taratibu dunia imeanza kutufahamu

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
17h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
20h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’