Ratiba, Simba Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2021
Ratiba, Simba Super Cup

Michuano maalum iliyoandaliwa na klabu ya Simba, 'Simba Super Cup' itaanza Januari 27 na itafika tamati Januari 31 2021

Michuano hiyo inayozihusisha klabu za Simba, TP Mazembe na Al Hilal yote itapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa muda wa jioni

Jumatano Januari 27, Simba itafungua pazia dhidi ya Al Hilal mchezo ukipigwa saa 11 jioni

Mchezo utakaofuata ni Januari 29 kati ya TP Mazembe dhidi ya Al Hilal na utapigwa saa 11 jioni

Mchezo wa mwisho ni Simba dhidi ya TP Mazembe utapigwa Jumapili, Januari 31, saa 10 jioni

Hii ni michuano maalum ambayo Simba imeiandaa kuwapa burudani mashabiki wake lakini pia ikiwa sehemu ya maandalizi kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa inayoanza mwezi ujao

Timu zote zitashiriki zitashiriki ligi ya mabingwa hatua ya makundi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
29m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’