Morrison 'kukiwasha' Simba Super Cup

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
22 Jan 2021
Morrison 'kukiwasha' Simba Super Cup

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amethibitisha kuwa Mghana Bernard Morrison ni mzima wa afya na atashiriki michuano ya Simba Super Cup inayoanza Januari 27

Kumekuwa na maswali mengi kuhusu hatma ya winga huyo Mghana ambaye hivi karibuni ilitangazwa ana matatizo ya kifya yanayoweza kumuweka nje hadi miezi sita

"Morrison ni mzima wa afya nawaambia Wanamsimbazi watarajie kumuona kwenye mechi za Super Cup zitakazopigwa wiki ijayo," amesema Barbara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
55m ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
12h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
18h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
21h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’