Simba tayari iko Djibouti

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2018
Simba tayari iko Djibouti
Kikosi cha Simba kilichoondoka jana jioni kuelekea Djibouti, kiliingia nchini humo usiku tayari kwa mchezo wa marudiano kombe la shirikisho dhidi ya wenyeji wao Gendarmerie.

Simba ilipitia Nairobi, uwanja wa Ndege wa Jomo Kenyatta kupata ndege ya moja kwa moja kwenda Djibouti.

Mchezo dhidi ya Gendarmerie unapigwa kesho Jumanne, February 20.

Simba inahitaji sare, ushindi na hata ikifungwa chini ya mabao manne, itaweza kusonga mbele.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
10h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
14h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
20h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’