Uongozi wa klabu ya Simba kesho Ijumaa utakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari Hoteli ya Serena kuanzia saa nane mchana
Huenda kupitia Mkutano huo kocha mpya wa Simba atafahamika pamoja na kikosi cha Simba kuelekea michuano ya ligi ya mabingwa
ADVERTISE HERE