Mkude awaomba radhi Wanasimba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jan 2021
Mkude awaomba radhi Wanasimba

Kiungo Jonas Mkude amewaomba radhi wachezaji, benchi la ufundi, viongozi, wanachama na mashabiki wa Simba kutokana na matukio ya utovu wa nidhamu yaliyopelekea asimamishwe kuitumikia Simba kwa takribani wiki tatu sasa

Mkude amesema alifanya makosa hayo kama binadamy, hivyo anaomba radhi huku akiahidi kutorudia tena

"Napenda kuwaomba radhi wachezaji wenzangu, benchi la ufundi, viongozi, wanachama na mashabiki wa Simba kutokana na yale yaliyotokea baina yangu na uongozi"

"Nawaomba mnisamehe kwani mimi ni Mwanasimba mwenzenu. Yaliyotokea ni makosa niliyofanya kama binadamu mwingine yeyote anaweza kufanya makosa. Nawaahidi Wanamsimba kuwa jambo hilo halitajirudia tena," alisema Mkude

Mkude anatarajiwa kurejea kikosini baada ya kukosekana kwa wiki kadhaa akiwa amesimamishwa na uongozi wa Simba kutokana na changamoto iliyojitokeza mwezi uliopita

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’