Ligi kurejea Februari 13, viporo kupigwa mapema

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Jan 2021
Ligi kurejea Februari 13, viporo kupigwa mapema

Bodi ya Ligi imetoa taarifa kuwa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 19 itarejea kuanzia Februari 13 baada ya kumalizika kwa michuano ya CHAN inayofanyika nchini Cameroon

Aidha kwa michezo ya viporo ambayo haikukamilika kutokana na vilabu vya Simba na Namungo Fc kuwa katika majukumu ya michuano ya CAF, itapigwa kuanzia Februari 04

Simba itacheza michezo mitatu dhidi ya Dodoma Jiji, Azam Fc na Namungo Fc

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’