Simba kurejea mazoezini Ijumaa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Jan 2021
Simba kurejea mazoezini Ijumaa

Wachezaji wa Simba walipewa mapumziko baada ya michuano ya kombe la Mapinduzi iliyomalizika visiwani Zanzibar wiki iliyopita

Mabingwa hao wa nchi watarejea mazoezini Ijumaa ya wiki hii kuanza maandalizi ya ligi kuu pamoja na michuano ya ligi ya mabingwa

Aidha uongozi wa Simba uko katika hatua za mwisho kukamilisha mchakato wa kumpata kocha mpya atakayerithi nafasi ya Sven Vandenbroeck

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema wiki hii watamtangaza Kocha Mkuu ambaye ataanza kusimamia mazoezi baada ya mapumzikop>

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’