Happy Birthday semaji la nchi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Jan 2021
Happy Birthday semaji la nchi

Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Haji Manara

Ukizungumzia watu maarufu Tanzania, jina la Manara ni miongoni mwao

Kazi yake nzuri ya uhamasishaji ndani ya klabu ya Simba imempa sifa kemkem na kumfanya kuwa mtu muhimu sana Simba

Ukitaka kufahamu uhodari wa Manara subiri michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi itakapoanza mwezi ujao

Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu ya kuzaliwa

Happy Birthday Haji Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1m ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’