Hawa wamekwama majaribio

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jan 2021
Hawa wamekwama majaribio

Klabu ya Simba haijawasajili nyota watatu waliokuja nchini kufanya majaribio ili kujiunga na mabingwa hao wa nchi

Walinzi Bernard Agele, Kelvin Moyo na kiungo mshambuliaji Ian Nyoni walikuwa na kikosi cha Simba kilichoshiriki michuano ya kombe la Mapinduzi visiwani Zanzibar

Kaimu Kocha Mkuu wa Simba Selemani Matola aliwapa nafasi wachezaji hao lakini mapendekezo aliyotoa ni kuwa hakuridhishwa na viwango vyao

Jana Simba ilifunga usajili kwa kumuongeza kiungo mshambuliaji Perfect Chikwende kutoka klabu ya Fc Platinum ya Zimbabwe

Nyota hao tayari wameondoka nchini baada ya kukwama kujiunga na machampioni hao wa soka nchini

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
5h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
10h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
15h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’