Nahodha wa Simba John Bocco amejumuishwa katika kikosi cha Simba kinachoondoka leo kwenda Djibouti kwa ajili ya mchezo wa marudiano kombe la Shirikisho dhidi ya Gendarmarie.
Bocco aliumia kifundo cha mguu katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom dhidi ya Mwadui FC, mchezo uliomalizika kwa sare ya mabao 2-2.
Awali ilielezwa kuwa Bocco mwenye mabao 10 angebaki jijini Dar es salaam kuendelea na matibabu kuhakikisha anarejea dimbani mapema.
Kujumuishwa kwake kikosini kunamaanisha kuwa hali ya mchezaji huyo iko vizuri na anaweza kuitumikia Simba

ADVERTISE HERE