Kocha Mpya Simba kufahamika wiki ijayo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
17 Jan 2021
Kocha Mpya Simba kufahamika wiki ijayo

Mtendaji Mkuu wa Simba Barbara Gonzalez amesema bado wanaendelea kuchambua CV za makocha walioomba kuifundisha Simba

Barbara amesema wana orodha ndefu ya makocha wanaotaka kumrithi Sven Vandenbroeck aliyetimkia Morocco

"Mashabiki wetu wasiwe na wasiwasi siku sio nyingi tutamtangaza kocha mpya. Tuna orodha ndefu ya makocha walioomba nafasi hiyo kutoka kila kona ya dunia yaani Afrika, Amerika na Ulaya. Hatutakurupuka katika kufanya uteuzi kwani tunahitaji kupata kocha bora ambaye ataendana na falsafa yetu," alisema

Inaelezwa mpaka kufikia wiki ijayo kocha mpya wa Simba atakuwa amefahamika tayari kuanza kukiandaa kikosi kwa ajili ya michuano ya ligi ya mabingwa hatua ya makundi

Simba itaanza kampeni yake kule DR Congo kwa kuikabili AS Vita katika mchezo utakaopigwa Februari 12, 2021

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
12h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’