CAF yarekebisha kanuni idadi ya wachezaji

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Jan 2021
CAF yarekebisha kanuni idadi ya wachezaji

Shirikisho la soka Afrika (CAF) kupitia kikao cha kamati ya Utendaji kilichofanyika jana Januari 15, huko nchini Cameroon, limerekebisha kanuni inayoruhusu idadi ya wachezaji wanaoruhusiwa kuruhusu mechi kuchezwa kutokana na athari ya ugonjwa wa corona

Kanuni hiyo mpya inasema kama timu haina wachezaji wanne wa akiba na wachezaji 11 akiwemo na golikipa itaruhusiwa kucheza mechi

"Tunaruhusu timu yenye wachezaji 11 kucheza mechi husika na kama kwenye wachezaji hao 11 hakutakuwa na golikipa, mchezaji yeyote anaweza akadaka"

Kwa marekebisho hayo ina maana timu kuruhusiwa kucheza mchezo ulio chini ya shirikisho ni kuwa na wachezaji wasiopungua 11 wasiokuwa na maambukizi ya virusi vya Corona bila ya kujali uwepo wa golikipa na kama timu haitakuwa na wachezaji 11 haitaruhusiwa kucheza na itakuwa imepoteza mchezo husika kwa kipigo cha mabao 2-0.

Aidha Caf imesisitiza, mchezaji yoyote ambaye atakutwa na maambukizi ya Corona hataruhusiwa kucheza mechi husika

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
2h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
5h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
23h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’