Baada ya kuwasili nchini Cameroon hapo jana, timu ya Taifa ya Tanzania imeanza mazoezi kuelekea mchezo wa kwanza wa michuano ya CHAN dhidi ya Zambia
Wachezaji sita wa Simba Aishi Manula, Shomari Kapombe, Ibrahim Ame, Erasto Nyoni, Said Khamis Ndemla na John Bocco wako katika kikosi cha kocha Etienne Ndayiragije


ADVERTISE HERE