Nyoni kuungana na Stars Jumapili

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2021
Nyoni kuungana na Stars Jumapili

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kimewasili nchini Cameroon kushiriki michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza kesho Jumamosi

Stars imeondoka nchini ikiwa na wachezaji 27, beki kiraka Erasto Nyoni akitarajiwa kuungana na timu hiyo Jumapili

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limethibitisha kuwa Nyoni atawasili nchini Cameroon mwishoni mwa wiki hii baada ya kushindwa kuondoka na wenzake kutokana na kukabiliwa na matatizo ya kifamilia

Nyota huyo kutoka klabu ya Simba alikosa mchezo wa kirafiki dhidi ya DR Congo uliopigwa mapema wiki hii na kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Tanzania itaanza michuano ya CHAN kwa kuikabili Zambia Jumanne ijayo, Januari 19 2021

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’