Morrison anaweza kuwa nje kwa miezi sita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2021
Morrison anaweza kuwa nje kwa miezi sita

Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Kassim Dewji amebainisha tatizo linalomsumbua mshambuliaji Bernard Morrison

Baada ya kuachwa nje katika mechi zote za michuano ya kombe la Mapinduzi, maswali mengi yaliibuka kulikoni mchezaji huyo hachezi?

Kassim amesema Morrison ana tatizo la kiafya ambalo pengine litahitaji kufanyiwa upasuaji

"Kwa wale wanaohoji kwa nini Morrison hachezi wafahamu hili, mchezaji huyu ana tatizo la henia, madaktari wamesema hawezi kucheza mechi ya ushindani. Ameruhusiwa kufanya mazoezi mepesi wakati akisubiri kutibiwa"

"Kama atafanyiwa upasuaji, Morrison anaweza kuwa nje kwa miezi sita au zaidi hivyo ni vyema tukafahamu kuwa mchezaji huyu ni mgonjwa"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’