Chikwende akaribia kutua Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Jan 2021
Chikwende akaribia kutua Simba

Habari za uhakika ni kuwa klabu ya Simba iko kwenye hatua za mwisho kukamilisha usajili wa kiungo mshambuliaji wa Fc Platinum Perfect Chikwende

Chikwende yuko jijini Dar es salaam kumalizana na wababe hao wa soka nchini

Awali nyota huyo alikuwa akiwaniwa na Azam Fc lakini inaelezwa wauza Ice Cream hao wameshindwa kufikia nae makubaliano hasa kwenye upande wa mshahara

Dirisha dogo la usajili litafungwa leo saa 5:59, Simba itafunga usajili kwa kumuongeza nyota huyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
13h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’