Tunasherehekea pamoja, tunahuzunika pamoja - Manara

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Jan 2021
Tunasherehekea pamoja, tunahuzunika pamoja - Manara

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amewataka mashabiki wa mabingwa hao wa nchi kutoyumbishwa na matokeo ya michuano ya kombe la Mapinduzi kwa kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya watani zao Yanga

Manara amesema katika mpira wa miguu mashabiki wanapaswa kukubali matokeo yoyote yanayopatikana baada ya dakika 90

Yanga wameonekana kushangilia sana ubingwa huo wa Mapinduzi likiwa ni taji lao la kwanza baada ya misimu mitatu kupita!

"Ukishabikia mpira lazma ukubali matokeo yoyote yale hata yakiwa machungu kiasi gani. Na lazma uwapongeze walioshinda hata kama ni matuta !! Ukizingatia ushindi wa jana unawapeleka Group Stage ya Champions league," Manara aliwapiga 'dongo' Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
47m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’